Google+ Followers

Powered by Blogger.

Wikipedia

Search results

Google+ Badge

Translate

You are here: Home / WEMA NA DIAMOND(PLATNUM) SI WATOTO.......WAACHENI

WEMA NA DIAMOND(PLATNUM) SI WATOTO.......WAACHENI

| No comment
Jamani ninachojua Watanzania wengi wanapenda kuona mafanikio yao na sii vimbwanga vinavyoonyeshwa kati yao kila kukicha
umaarufu hautafutwi hivyo... kisa cha sasa :Wema kuto pandishwa stejini wakati mzee platnum aki tumbuizaaaa...........NA wakati hasimu wake akirushwa na kupaishwa/kupewa kichwa na maneno MATAMU ya Platnum........."UTOTO HUO-wahandisi wa habari muache "eboooo"


  Nanyinyi watanzania tuache kuchochea kufuatilia mambooo wakat mwingine sisi huwa ndo waongezaji chumvi (silent killers)
tupende mziki tuwape sapoti kwa namna nyingine ilaa tufatilie vya kwetu..tunawadharilishaaaa

kep it up mr.platnum..
piaa fikiria naombi la malkia LULU (elizabeth Michael) 
Post a Comment